Search This Blog
Tuesday, March 10, 2020
Msanii wa Filamu Afariki Baada ya Kutoka Msikitini Alfajiri
Asubuhi ya leo imeripotiwa taarifa ya kifo cha msanii Baki Boban kilichotokea asubuhi ya leo maeneo ya nyumbani kwake, taarifa zinaeleza kuwa Marehemu alikua anatoka msikitini alfajiri ya Leo na baada ya muda akaanza kujisikia vibaya na hapo ndipo mauti yalipomkuta.
Baki Boban alishiriki katika tamthilia ya Rebeca kama baba yake Albert (burushi) na pia alishiriki katika vipindi vyote vya tamthilia yaBONGO DAR ES SALAAM.
Mwili wa marehemu umesaliwa pale upanga msikiti wa maamul ,na kuzikwa Leo SAA kumi pale kisutu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment