Search This Blog
Monday, March 23, 2020
Kansela wa Ujerumani apimwa virusi vya corona , majibu haya hapa
Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel apimwa virusi vya corona na kukutwa akiwa salama.
Msemaji wa Bi Angela Merkel amefahamisha kwamba atanfanyiwa vipimwa kwa mara nyingine baada ya siku chache zijazo.
Taarifa kuhusu Bi Merkel kufanyiwa vipimo na kutolewa kwa majibu zimetolewa na vyomba vya habari vya nchini Ujerumani Jumatatu.
Msemaji wa Bi Merkel , Steffen Seibert amesema kuwa matokea ya vipimo alivyofanyiwa Merkel yameonesha kuwa hakuambukiwa virusi hivyo.
Merkel alijitenga Jumampili kwa hofu aliokuwanayo baada ya kukutana na daktari mmoja aliepimwa na kukutwa na virusi vya corona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment