Msanii Hussein Machozi amefunguka kusema watu wanatamani afariki kweli au la maana anazushiwa kifo kwa mara ya pili sasa kupitia chombo kimoja cha habari ambacho kilitangaza kifo chake kupitia mtandao wa Youtube.
Hussein Machozi amesikitishwa na taarifa hizo ambapo amesema yeye ni mzima wa afya, yupo salama na kama kuna kosa alilowahi kufanya basi awaombe watu msamaha ili mradi wasimzushie taarifa hizo tena.
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram Hussein Machozi ameeleza kuwa,
"Kah jamani mbona mnaniua namna hii, hata kama hamnipendi sio hivi asee mimi nipo salama tena nina afya tele, msinifanyie hivi jamani kwani niliwakoseaga nini mniambie basi niwaombe msamaha maana mara ya pili sasa mnaniua, ama mnataka nidedi kweli" ameandika Hussein Machoz
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment