"Mimi kama Zitto nautaka Urais, ningependa siku moja niongoze nchi yangu, nitende haki na niongoze Tanzania ambayo inaheshimika Kimataifa" - Zitto Kabwe Ruyagwa
"Mimi msamiati wa woga haupo kwangu. Ukishaamua kushiriki kwenye harakati za kidemokrasia, unajua umeshasaini hati ya kifo"- Zitto kabwe
"Ziara ilikuwa na mafanikio makubwa sana na ndio maana watawala wanahangaika na wanaendelea na vitisho kwa sababu ya mafanikio ya ziara yetu Ulaya na Amerika" Zitto kabwe
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment