Search This Blog

Sunday, February 23, 2020

Unaambiwa Hamisa Mobetto Atamani Kuwa MKE wa Nne wa Dr Mwaka..

Hamisa Mobetto atamani kuwa mke wa nne wa Dkt Mwaka... Aonesha Hisia zake kwa kumpost Picha ya Dr Mwaka katika insta story yake, hii imekuja baada ya Dr Mwaka kuwa Gumzo wiki iliyopita baada ya kutambulisha wake zake wawili ambao wanapika chungu kimoja waswahili tunasema wanaiva mpaka kufikia kulala chumba kimoja na mme wao....

Katika Dini ya Uislamu mwanaume anaruhusiwa kuoa wake mpaka Wanne hivyo kama inampendeza Dr Mwaka anaweza futa jiko la nne

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...