Search This Blog

Wednesday, February 5, 2020

Tanzia: Msanii Soggy Doggy afiwa na baba yake mzazi

Msanii mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya, Anselm Ngaiza  maarufu kama Soggy Doggy amefiwa na baba yake mzazi Mzee Ngaiza usiku wa kuamkia leo.

Kupitia akaunti ya instagram ya Soggy ameposti picha akiwa na marehemu baba yake na kusema kuwa msiba utafanyika nyumbani kwao Mulele.

"Pumzika kwa amani baba yangu,nitakukumbuka daima 🙏🙏🙏 Mzee Ngaiza amefariki usiku wa leo na taarifa za awali msiba utakuwa nyumbani kwetu Mulela
Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina lake libarikiwe"

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...