Search This Blog

Wednesday, February 12, 2020

Taarifa za Nabii Daniel Shillah Kupata Ajali na Kukatwa Mguu..JE Kuna Ukweli Au Naye Anatafuta Kiki?

Taarifa za Nabii Shillah Kupata ajali na kukatwa mguu zimeanza kuzagaa toka jana kupitia mtandao wa instagram ,

Mwenyewe kwenye ukurasa wake wa instagram amepost picha hii na kuandika haya:


Page nyingine ya udaku iliandika haya hapa chini:
"Mmmh Hujafa hujaumbika Nabii @prophet_daniel_daniel_shillah amefanikiwa kukatwa Mguu baada ya Kupata Ajali akitokea Dodoma😭....Katika Ukurasa wake Amepost Picha Hiyo akiwa anauguza Mguu.. INASIKITISHA SANA!! " Udakutz


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...