Search This Blog

Wednesday, February 12, 2020

Kelvin wa HOME Alone Afunguka Tena Kuhusu Skendo ya Kubakwa na Micheal Jackson...


Mwigizaji wa filamu za ‘Home Alone’ ambaye alikuwa karibu na marehemu 'Michael Jackson', Macaulay Culkin AKA Kevin amesema Pop staa huyo hajawahi kumfanyia kitendo chochote cha kutaka ngono walivyokuwa pamoja. Macaulay Culkin kwenye interview mpya anasema

'Hajawahi nifanyia chochote, sijawahi kumuona anamfanyia mtoto mwingine jambo lolote kama hilo, MJ Ameshafariki so sina sababu ya kuficha jambo lolote'.

Skendo ya Michael Jackson kufanya vitendo vya ngono wa watoto wa kiume walivyokuwa ktk nyumba yake imeandama familia yake ata baada ya kifo chake mwaka 2009. Mj alishinda kesi dhidi ya waliomtuhumu kwa makosa haya mwaka 2005.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...