Mkali wa miondoko ya Taarabu Isha Mashauzi amefunguka na kusema wanawake wanajidhalilisha sana wanapofikia hatua ya kudanga na kuuza mwili wao ili wapate pesa.
"Maisha yangu yote sijawahi kudanga hata wigi hili nimevaa kwa hela yangu na hela ya mashabiki, huwa najisikia vibaya nikimkuta mtoto wa kike anauza mwili au anadanga, niwaambie tunajidhalilisha sana, hatuwawekei maisha mazuri watoto wetu" amesema Isha Mashauzi.
Aidha msanii huyo ameongeza kusema "Mimi ni mwanamke wa kwanza kuimba Taarab, kumiliki bendi, na ndiyo wa kwanza kumiliki gari kwa hela yangu mwenyewe na wala sikwenda Chuo Kikuu bali huwa napita kama njia".
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment