Search This Blog

Tuesday, February 25, 2020

Mke wa Kobe Bryant "Mungu Alifahamu Kuwa Hawawezi Kuishi Katika Dunia hii Bila ya Mwingine"


Maneno ya Mke wa Bryant *VanessaBryant katika tukio la kutoa heshima za mwisho “Mungu alifahamu kuwa hawawezi kuishi katika dunia hii bila ya mwingine, Na ndio maana ilibidi awachukue wote kwa Pamoja.” Hapa alikuwa akiongelea jinsi walivyokuwa wanapendana na hadi kupelekea kufanana baadhi vitu mfano wote walikuwa wanapenda mchezo wa Basketball kingine Ishara zote alizokuwa akizionyesha GiGi ndio alikuwa nazo baba yake mfano hiyo ya kung’ata jezi. RIP 🖐️BlackMamba KOBE BRYANT na ✋GIANNA BRYANT 💔💔

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...