Search This Blog

Tuesday, February 11, 2020

Kobe Bryant na mwanae Gigi wazikwa kwa siri

Kama wewe ni miongoni mwa watu waliotamani kushuhudia mazishi ya mchezaji wa Basketball Marehemu Kobe Bryant na mwanae Gigi taarifa ikufikie kuwa tayari wawili hao wameshazikwa kwa Siri siku ya februari 7.

Taarifa iliyoripotiwa inaeleza kuwa Kobe na mwanae Gigi wamezikwa na walioshiriki mazishi hayo ni wanafamilia pamoja na watu wa karibu sana.

Hata hivyo wamepanga February 24 mwaka huu  ndiyo iwe siku mahususi kuomboleza kifo cha Kobe Bryant na Mwanae itakayofanyika Staples Center. (Wamechagua 24 Sababu ni number aliyowahi itumia Kobe Kwenye maisha yake ya kikapu)

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...