Na James Timber, Mwanza
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limebaini ongezeko la matukio ya utapeli unaohusisha usajili wa laini za simu baada ya Rais John Magufuli kuongeza siku 20 za usajili baada ya kundi la vijana linalovalia vikoti vya kampuni za mawasiliano kutembelea wateja majumbani.
Akizungumza kwa niaba ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Murilo, Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Nyamagana (Jiji), Juma Jumanne alisema takwimu zinaonyesha kuanzia Januari hadi Novemba, 2010 matukio ya utapeli juu ya usajili wa simu yakuwa saba tu lakini ghafla yamepanda Desemba mwaka jana.
Alisema kuwa mwezi huu wa Januari mwaka huu, ambayo bado mwezi mchanga wamepokea matukio ya wizi wa pesa yanayofanywa na kundi hilo hilo, yupo mkazi aliyetapeliwa na kutioa namba ya sii ya benki na kuibiwa Sh milioni 4, mwingine Sh 900,000 na Shilingi milioni mbili.
"Tumepokea matukio ya mawakala ambao wanafanya miamala ambao nao wameibiwa simu wanazofanyia miamala ya pesa ambazo zimeibwa, yaani kuna mteja anaiba simu kituo fulani anatoa fedha zote kisha anaiacha kituo kingine na kuchukua nyingine yenye pesa," alisema.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment