Search This Blog

Tuesday, January 14, 2020

VIDEO: MWIJAKU Amvua NGUO DIAMOND 'Muongo/ Ananunua TUZO/ Kujenga MSIKITI/ Wana SIRI nzito na DIVA'

Muigizaji na mwanamitandao ya kijamii #MWIJAKU amemjia juu Diamond Platnumz kuhusu swala la kulipwa zaidi ya milioni 60 kwenye show moja. Mwijaku amefunguka pia kuhusu uhusiano uliopo kati ya Diamond na mtangazaji wa Clouds Fm DIVA THE BAWSE. Amsifia kuhusu kujenga msikiti Kigoma,amchana Harmonize kuzurura hovyo baada ya kujitoa WCB, mambo makubwa aliyoyafanya DIAMOND

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...