Klabu ya Simba kupitia Afisa Habari wake, Haji Sunday Manara ametaja viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC utakaochezwa siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Akiwa na watatendaji wengine kama Mtendaji Mkuu wa klabu, Senzo Mbatha na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga Manara Amesema viingilio ni Sh. 30,000 VIP, Sh. 20,000 VIP B na C na Sh. 7000 kwa mzunguko
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Kai...

No comments:
Post a Comment