RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar (kushoto kwa Rais) Mfadhili Mkuu wa Ujenzi wa Skuli hiyo kwa kushirikiana na Serikali katika kukamilisha ujenzi huo Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil na( kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, ikiwa ni Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (kushoto kwa Rais) Mfadhili Mkuu wa Ujenzi wa Skuli hiyo kwa kushirikiana na Serikali katika kukamilisha ujenzi huo Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil na( kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akitembelea Jengo jipya la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, baada ya kuifungua ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwa katika na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akitembelea Jengo jipya la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, baada ya kuifungua ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwa katika na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein, akiwa katika moja ya darasa la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, baada ya kuifungua Skuli hiyo, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mfadhili Mkuu wa ujenzi huo na Mwakilishi wa kuteuliwa Mhe.Ahmada Yahya Abdulwakil na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idrisa Muslim Hijja.(Picha na Ikulu)
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...




No comments:
Post a Comment