Search This Blog

Saturday, January 11, 2020

Mourinho ashindwa kumzuia Klopp

Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 37 katika ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...