Washambuliaji Marcus Rashford na Anthony Martial wakipongezana baada ya wote kuifungia Manchester United katika ushndi wa 4-0 dhid ya Norwich City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford.
Rashford ambaye amecheza mechi ya 200 leo Man United amefunga bao la kwanza dakika ya 27 na la pili kwa penalti dakika ya 52 na Martial la tatu dakika ya 54, wakati la nne limefungwa na Mason Greenwoodon dakika ya 76.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment