Search This Blog
Monday, January 20, 2020
HATIMAYE Aston Villa Wamemtambulisha Mbwana Samatta
Club ya Aston Villa imetangaza rasmi kumsajili nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta akitokea KRC Genk ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka minne na nusu.
Samatta yupo Villa Park hadi (2024) kocha wa Aston Villa Dean Smith mapema leo akiongea na waandishi wa habari alisisitiza kuwa mchezaji huyo kila kitu kimekamilika bado vitu vidogo tu.
Hata hivyo Samatta ,27, hatoweza kucheza mchezo wa kesho wa Aston Villa dhidi ya Watford kwa kuwa hakupata muda wa kutosha kuwa na timu hiyo kutokana na kuchelewa kupata kibali cha kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment