Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie Esha Buheti amenusurika kifo baada ya kupata ajali wakati akiwa safarini, ajali hiyo imesababishwa na ng’ombe aliyekatiza Barabarani .
Esha ameshare video na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuelezea ilivyokuwa mpaka ajali ikatokea licha ya kuwa wote waliokuwa Kwenye gari hilo wametoka wazima licha ya gari yake kuharibika vibaya.
“Asanteni kwa message na simu nyingi sana ila kwa sasa kichwa kinauma sana, ni kweli tumepata ajali ila tumetoka salama"
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment