Search This Blog

Saturday, January 11, 2020

Burna Boy Noma Awakalisha Kina Diamond na Wizkid Tuzo za Soundy City


Imeendelea kudhihirika kuwa The African Giant @burnaboygram hana mpinzani kwenye game ya Music Africa kwa sasa baada ya kumalizika kwa Hafla ya utoaji Tuzo za Sound City MVP 2020, Hafla ambayo imefanyika usiku wa kuamkia leo Jan 12 Lagos Nigeria.

Burna Boy ameibuka kinara kwenye Hafla hiyo baada ya kuzikwarua Tuzo 3 kama utani vile mbele ya wakali kama Davido, Wizkid na wengineo!

Ni vipengele vya Best Male MVP, Song of the Year na African Artist of the Year ndivyo ambavyo Burna Boy amepitanavyo kama upepo!
  


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...