Msanii wa bongo fleva Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya amewajibu tena basata na kusema kuwa hajapokea barua yoyote ya kufungiwa kufanya sanaa na amehaidi kuwapeleka mahakamani Basata.
Dudu baya amesema atowaomba msama Basata na hata akipata show yoyote ataendelea kuifanya kwakuwa atajapewa barua yoyote.
"Sijapokea barua yoyote ya kufungiwa kufanya kazi ya sanaa kwahiyo hata kesho nikipata show ntafanya kama kawaida na nikishapokea hiyo barua ntakaa na mwanasheria wangu na nikishajua wameandika nini lazima niwatie mahakamani'' alisema Dudubaya
Ameendelea kusema kuwa anaiamini serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli ni ya ukweli, uwazi na haki anaamini atashinda kesi.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment