Search This Blog

Friday, December 27, 2019

Wolves Yaiadhibu MAN City Ligi ya Uingereza EPL


Man City imekubali kipigo hicho usiku huu ikiwa ugenini katika mechi iliyoshuhudia miamba hiyo ya soka ikicheza pungufu ya mchezaji mmoja baada ya kipa wake kupata kadi nyekundu

#WOLMCI #EPL

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...