Search This Blog

Sunday, December 15, 2019

Wanandoa Wauawa Kwa Kukatwa Mapanga Wakiwa Wamelala

Katavi:
Wanandoa wawili walivamiwa usiku wakiwa wamelala kisha kuuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Desemba 15, 2019 wakiwa nyumbani kwao -
Noel Muswanya (37) na mke wake aliyetambulika kwa jina moja la Siwema (27) walisikika wakitoa sauti ya kuomba msaada majira ya saa 7 usiku wakati wanashambuliana na wauaji hao

Jirani wa marehemu amesema, walitoka nje na mume wake na kukuta watu wamesimama nyumbani kwa marehemu na watu hao walianza kuwarushia mawe walirudi ndani na baada ya muda kelele za kuomba msaada zilikata

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Ahamad Bahema amesema amepata taarifa hizo majira ya saa 12 asubuhi baada ya kupigiwa simu na mjumbe wa eneo hilo

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...