Search This Blog

Tuesday, December 10, 2019

VIDEO: Muuaji Atoka Gerezani Kwa Msamaha wa Magufuli “Nilipigana Disco Nikaua Mtu"


Jana December 10, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewahimiza watu wa Mwanza na Watanzania wote waendelee kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kuwatumikia;

“ Tumuombee Rais wetu awe na afya njema aendelee kututumikia, yeye mwenyewe anasema amejitoa sadaka kwa Tanzania, Watanzania Tunafaamiana mtaani, Rais ameshawaachia sasa mtupumzishe na sisi tulale jamani” RC Mongella

Baada ya kuzungumza RC Mongela amempa nafasi kijana aliekuwa amefungwa kwa kosa la mauaji atoe shukrani zake kwa kupokea msahama.

“Nimeingia nikiwa mdogo, niliingia miaka 20 muda huu nina 28, nilipata kesi ya mauaji nikiwa disco tulipigana mwenzangu damu ikavujia ndani” Michael Elias

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...