Search This Blog

Saturday, December 14, 2019

VIDEO: Majeruhi waliochomwa kisu na mfungwa aliyetoka kwa msamaha wa Rais wafunguka walivyonusurika kuuawa


Baadhi ya majeruhi watano baada ambao wamenusurika kwenye tukio lililozua taharuki baada ya mtu mmoja anayesadikika kuwa ni mmoja kati ya wafungwa waliotoka jera kwa msamaha wa Rais kuwavamia na kuwashambulia kwa kuwachoma visu katika maeneo mbalimbali ya mwili katika eneo la stand kuu ya mabasi Bukoba wameeleza tukio hilo ambalo limesababisha vifa vya watu wawili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...