Search This Blog

Saturday, December 14, 2019

VIDEO: Aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais achoma watu watano visu na kuua mmoja, naye auawa na wananchi


Jeshi la polisi mkoani Kagera linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya watu wawili na majeruhi watano baada ya mtu mmoja anayesadikika kuwa ni mmoja kati ya wafungwa waliotoka jera kwa msamaha wa Rais kuwavamia na kuwashambulia kwa kuwachoma visu katika maeneo mbalimbali ya mwili katika eneo la stand kuu ya mabasi bukoba na kusababisha taharuki kubwa kwa raia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...