Maafisa wa afya wakati wa lisala kwa mgeni rasmi Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa mkutano na maafisa afya waliokutana kufanya tathmini ya majukumu yao, wamesema licha ya mafanikio lakini bado wanachangamoto katika utekelezaji wa majukumu yao hasa katika kuingiliwa kiutendaji na maafisa wa mazingira kitengo cha taka ngumu
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USISAHAU KU SUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment