Search This Blog

Friday, December 13, 2019

TANZIA: Mzee Akilimali afariki dunia


Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia.

Kupitia Ukurasa wa Kijamii wa Msemaji wa Simba SC, Haji Marana amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kuandika "Inna lillah!! Tumeondokewa,,Mwamba ktk Miamba ya kabumbu nchin umeanguka,,Mzee wetu,Baba na Babu yetu,Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Yanga Ibrahim Akilimali katangulia mbele ya haki."

"Poleni familia,Poleni sana Wanayanga hakika huu ni msiba wetu sote na tutashiriki kikamilifu kwenye majonzi haya."

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...