Search This Blog
Wednesday, December 4, 2019
Naibu Waziri wa Maji avunja Bodi ya Maji Mji Mdogo wa Geita
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amevunja Bodi ya Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo wa Geita alipokuwa ziarani Misungwi.
Aidha, ametembelea na kukagua Mradi wa Maji wa Magu na kufurahishwa na ujenzi wa mradi huo uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 16.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment