Search This Blog
Sunday, December 29, 2019
Mwili wa Faru Fausta kuhifadhiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangala amesema serikali inakusudia kuukausha na kuutunza mwili wa faru Fausta kwenye jumba la makumbusho eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Faru Fausta amekufa akiwa na umri wa miaka 57 na inaaminika ndiye faru aliyekufa akiwa na umri mkubwa zaidi duniani.
“Tunakusudia kumkausha na kuutunza mwili wake kwenye Jumba la Makumbusho pale eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, aidha ninawapongeza sana wahifadhi wetu wa Ngorongoro kwa kazi nzuri ya kumtunza Faru Fausta, Faru wengine wengi na Hifadhi yote kwa ujumla” amesema Waziri Kigwangala.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment