Search This Blog

Saturday, December 21, 2019

Mashabiki Wamtaka DIAMOND Platnumz Ampeleke WEMA Kigoma.."Bila Wema Wewe Usingekuwa Hapo"

Mashabiki Wamtaka DIAMOND Platnumz Ampeleke WEMA Kigoma...Diamond ameandaa show kubwa kabisa Kigoma siku ya mwaka mpya, na katika kuipromote inaonekana kuna baadhi ya wasanii ambao anawataja katika page yake ya instagram kuwa watajuika naye huko Kigoma lakini mpaka sasa jina la Wema Sepetu halijatajwa..sasa mashabiki wamegoma wanamtaka Wema Sepetu naye aende KIGOMA....

febroniaweja

Nassib kumbuka fadhila japo kidogo bila wema ulikua hutoboi hata kwa nondo

josephatpaulina

Tunamtaka wifi yetu waukwel

allymanundu2928

Wema muimu kwenda maana mondi alitembelea nyota ya wema kumbuka fadhila bs



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...