Search This Blog

Sunday, December 1, 2019

Manchester United yaendelea kuchechemea

Tyrone Mings akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Aston Villa bao la kusawazisha dakika ya 66 ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford.

Bao la kwanza la Aston Villa limefungwa na Jack Grealish dakika ya 11, wakati mabao ya Man United yamefungwa na Tom Heaton aliyejifunga dakika ya 42 na Victor Lindelof dakika ya 64.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...