Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 29 kwa penalti na 57 ikitoa sare ya 2-2 na Norwich City leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road. Mabao ya Norwich City Teemu Pukki dakika ya 21 na Todd Cantwell dakika ya 45 na ushei.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment