Search This Blog
Tuesday, December 10, 2019
Kocha wa Napoli afutwa kazi baada ya kuichapa KRC Genk goli 4-0
Klabu ya soka ya Napoli ya Italy imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Carlo Ancelotti saa machache baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano kwenye Champions League.
Ancelotti ambaye ameiongoza Napoli kwa miezi 19, kabla ya kushinda mechi ya jana 4 - 0 dhidi ya Genk ya Belgium, Napoli walikuwa wamecheza mechi tisa zilizopita bila ya kushinda kwenye mashindano yote.
Timu za Everton na Arsenal za Uingereza zinafanya jitihada za kumchukua Ancelotti kuwa kocha wao.
Mchezaji na Kocha wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso anategemewa kuiongoza Napoli kwa mkataba wa miezi 6.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment