Search This Blog

Thursday, December 26, 2019

Kampuni ya vyakula yashtakiwa kwa kutumia picha ya Bruce Lee bila kibali


Mtoto wa Muigizaji Bruce Lee, Shannon Lee ameushtaki mgahawa wa Real Kung Fu wa nchini China kwa kutumia picha ya baba yake bila kuwa na kibali.

Shannon anataka kulipwa fidia ya $30 milioni sawa na Tsh. Milioni Bilioni 69), na Tsh. Milioni 29 ambazo ni gharama za kesi.

Kampuni ya 'Kungfu Catering' imeshtakiwa kwa tuhuma za kutumia sura ya Bruce Lee kwa muda wa miaka 15 bila ya kupewa kibali cha kufanya hivyo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...