Search This Blog
Monday, December 2, 2019
Hii hapa 10 Bora ya washindi wa Ballon Dor 2019
Usiku wa kuamkia leo Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon Dor 2019 katika sherehe zilizofanyika usiku huu Jijini Paris Ufaransa.
Messi amewashinda beki wa Liverpool Virgil van Dijk aliyeshika nafasi ya pili, pamoja na Cristiano aliyekamata nafasi ya tatu huku Sadio Mane akiwa nafasi ya nne.
Messi amewashinda beki wa Liverpool Virgil van Dijk aliyeshika nafasi ya pili, pamoja na Cristiano aliyekamata nafasi ya tatu huku Sadio Mane akiwa nafasi ya nne.
Aliyeshika nafasi ya tano ni mshambuliaji wa Liverpool , Mo Salah, nafasi ya sita imekwenda kwa mshambuliaji wa PSG na Ufaransa, Kylian Mbappe, nafasi ya saba ikarudi Liverpool kwa golikipa Mbrazil Allison Becker ambaye pia ndiye mshindi wa tuzo ya golikipa bora Yachine Trophy
Namba nane ni straika wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowsk, namba tisa ni Bernardo Silva wa Man City na namba 10 ni Mwafrika Riyard Mahrez kutoka Algeria akikiwasha pale Man City nchini England.
Hili ni taji lake la 6 na hivyo amemzidi Cristiano Ronaldo mwenye mataji 5 mpaka sasa.
Hii hapa 10 Bora ya washindi wa Ballon Dor 2019
1. Lionel Messi
2. Virgil Van Djik
3. Cristiano Ronaldo
4. Sadio Mané
5. Mohamed Salah
6.Kylian Mbappe
7.Alisson Becker
8.Robert Lewandowski
9.Bernardo Silva
10.Riyad Mahrez
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment