Search This Blog

Saturday, December 21, 2019

EXCLUSIVE SHAMSA FORD: Nimepewa Talaka Kwenye Watsapp/ Mume Wangu Alinidai DOLA MIA Aliyowahi Kunipa

Shamsa Ford ameweza kufunguka Mengi kuhusiana na sababu nyingi zilizosababisha ndoa yake kuvunjika, madhaifu yaliyokuwa kwenye ndoa, sababu zinazomfanya aseme hataki mime wa shida na raha, mahusiano ya mtoto wake na aliyekuwa mums wake, na mengi mengine kuhusu ndoa yake ambayo hakuwahi kuyaongea popote

 VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...