Search This Blog
Tuesday, November 12, 2019
Wakazi Dar wafurika ofisi za NIDA kusaka vitambulisho
Ikiwa Disemba 31, 2019 ndio mwisho wa usajili wa laini za simu kwa alama za vidole.Wakazi Dar wafurika ofisi za Nida kusaka vitambulisho vya uraia
Ili uweze kusajili laini ni lazima uwe na kitambulisho cha uraia kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Jana katika ofisi za Nida wilaya yaTemeke na Ilala kulikuwa na idadi kubwa ya wananchi wakisaka vitambulisho hivyo.
Zimebaki siku 47 kufikia mwisho wa usajili wa laini hizo jambo linaloashiria kuwa baadhi ya wananchi simu zao hazitakuwa hewani kuanzia Januari Mosi, 2020.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment