Search This Blog

Thursday, November 14, 2019

VIDEO: Familia yagoma kuzika mtoto wao baada ya kifo chake kuwa na utata


Familia ya Mzee Mesiak Mungaya Mollel imeliomba jeshi la polisi pamoja Serikali kuchunguza tukio la Kufariki kwa mtoto wao aliyechukuliwa na balozi pamoja na Mgambo wa kata majira ya saa nane usiku siku ya Ijumaa ambapo inadaiwa walimpiga kijana wao Gerald Mollel na ilipofika siku ya jumanne wakambiwa ameshafariki Dunia hivyo wamepata utata juu ya Kifo hicho

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...