Search This Blog

Saturday, November 2, 2019

Unambiwa TIMU ya Liverpool Haishikiki Uingereza



Klabu ya Liverpool imeweza kuibuka na ushindi wa bao 2-1 mbele ya Aston Villa katika mchezo ulioonekana mgumu kwa upande wa Liverpool baada ya kuwa nyumba kwa goli moja kabla ya kusawazisha na kuongeza jingine dakika za majeruhi.

Goli la Aston Villa lilifungwa na Trezeguet dakika ya 21 na yale ya Liverpool yakifungwa na Andrew Robertson dakika ya 87 , Sadio Mane dakika ya 94.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...