Search This Blog

Saturday, November 2, 2019

Manchester United Yapokea Kichapo Kitakatifu



Klabu ya Manchester United imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Goli la Bournemouth liliwekwa kambani na Josh King dakika ya 45.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...