Search This Blog

Thursday, November 21, 2019

Picha: Kocha Mpya Biashara United aanza mshikemshike


Kocha Mkuu wa timu ya Biashara United Mara Francis Baraza (mwenye kofia) akiwa katika maandalizi ya kikosi chake kinachoelekea kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa mwishoni mwa wiki hii kwenye Uwanja huo wa Karume mjini Musoma.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...