Search This Blog
Monday, November 25, 2019
Mapokezi ya klabu ya Flamengo nchini Brazil yatia fora
Mapokezi ya klabu ya Flamengo nchini Brazil baada ya kurejea kutoka nchini Peru waliposhinda ubingwa wa Klabu Bingwa Amerika Kusini (Copa Libertadores) kwa kushinda goli 2-1 katika mchezo wa fainali dhidi ya River Plate na kuchukua kombe hilo kwa mara ya kwanza baada ya miaka 38.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...





No comments:
Post a Comment