Search This Blog

Sunday, November 24, 2019

Direkta Kenny abeba Tuzo ya AFRIMA


Katika tuzo za AFRIMA mwaka huu mkongwe 2 Face (2 Baba) ametunukiwa tuzo ya heshima, huku majina ya wasanii wa Afrika Magharibi kwa maana ya Nigeria na Ghana ndio yametawala na Afrika Kusini wakizibeba Tuzo za kutosha.

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Kenya wamewakilishwa vyema na Sauti Sol huku Tanzania akiibeba Director Kenny Pekee.

BAADHI YA WASHINDI NI PAMOJA NA

Best Female Artist in Western Africa
• Tiwa Savage - Nigeria

Best Male Artist in Western Africa
• Burna Boy - Nigeria

Best Artiste, Duo or Group in African Pop
• Joeboy - Nigeria

Best African DJ
• DJ Spinall - Nigeria

Artist of The Year in Africa
• Burna Boy - Nigeria

Best Artist, Duo or Group in African Contemporary
• 2Baba - Nigeria

Best Male Artist in Eastern Africa
• Khaligraph Jones - Kenya

Best Female Artist in Eastern Africa
• Nikita Kering - Kenya

Best Male Artist in Southern Africa
• Sjava - South Africa

Best Female Artist in Southern Africa
• Nadia Nakai - South Africa

Album of the Year in Africa
• Afrikan Sauce – Sauti Sol (Kenya)

Best African Collaboration
• Nasty C (South Africa) – ‘SMA’ ft. Rowlene

Best African Duo, Group or Band
• Sauti Sol (Kenya)

Best Artist, Duo or Group in African Hip Hop
• Nadia Nakai (South Africa)

Best Video Director Of The Year
• Director Kenny - Tanzania

Best African Rapper/Lyricist
• Nasty C - South Africa

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...