Search This Blog

Sunday, November 17, 2019

Baada ya Vurumai la Ebitoke, Mrembo Stella Video Queen Anayetajwa Kuwa Mpenzi wa Mlela Afunguka

Baada ya Vurumai la Ebitoke, mrembo Stella video queen anayetajwa kuwa mpenzi wa Mlela afunguka

Stella amesema ni kweli ana mahusiano ya kimapenzi na Mlela na anachojua yeye Ebitoke na Mlela walikuwa wakifanya kazi na siyo Wapenzi

“Ameniumiza, najua nitakachomfanya Ebitoke ni mdogo kwangu, mimi sina makosa kwanini anifuate anivute nguo na kunitoa wigi?"- Amelalamika Stella baada ya kisanga cha jana mbele ya wanahabari


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...