Search This Blog
Sunday, October 27, 2019
Yanga SC Wachapwa na Waarabu Mbele ya Wasukuma, Simba SC Haooo Wachana Mbuga
Yanga SC wamepoteza Mchezo wa Shirikisho Afrika wakiwa nyumbani katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa kuchapwa goli 2-1 dhidi ya Pyramids FC kutoka nchini Misri.
Magoli ya Pyramids FC yamefungwa na Erick Traory 42', Abdallah Saed 62', huku goli pekee la Yanga SC likifungwa na Papi Tshishimbi 88'.
Katika hatua nyingine mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kati ya Simba SC na Singida United umemalizika kwa Simba SC kushinda 1-0, goli hilo limefungwa na Miraji Athumani 42'.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment