Search This Blog

Monday, October 14, 2019

VIDEO: Lema awavaa hadharani Dkt. Bashiru na Waziri Lugola


Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema amewavaa Katibu MKuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola kwa kile anachodai kuwa wanafanya kampeni lakini wanaogopa kuruhusu hata mkutano wa diwani wa Chadema.

Aidha Lema amewataka wanachama wa chama CAHDEMA  kwenda kujiandikisha kwenye orodha ya daftari la wapiga kura ili kumchagua kiongozi wanayemtaka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...