Search This Blog

Sunday, October 27, 2019

VIDEO: Kocha Aussems Alia na Uwanja/ Aaahidi Kubadili Kikosi Mechi ijayo


Kocha wa kikosi cha Simba SC, Patrick Aussems, amelia kutokana ubovu wa eneo la kuchezea la uwanja wa Sheikh Amri Abeid wa mjini Arusha ambao wamecheza mechi yao ya ligi kuu Jumapili ya leo dhidi ya Singida United na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...