Kamati ya Siasa ya halmashauri kuu jijini Arusha ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi Bwana Joseph Masawe wametembelea miradi ambayo inatekelezwa na ilani ya chama hicho kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU SUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment