Search This Blog

Thursday, October 17, 2019

Utafiti: Asilimia 93 ya wazazi wamewanunulia watoto wao smart phone


Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha kuwa zaidi ya asilimia 93 ya wazazi nchini China wamewanunulia watoto wao simu janja (smart phone) kwa matumizi ya kila siku.

Kwa mujibu wa Jarida la China Youth Daily liliripoti kuwa kiwango cha umiliki wa simu ni mkubwa zaidi kwa watoto wanaohudhuria shule ya sekondari ambao unazidi asilimia 97.

Hata hivyo, Gazeti hilo liligundua kwamba wanafunzi wa shule za msingi kutoka darasa la kwanza hadi la tatu waliripoti kiwango cha chini kwa umiliki simu.

Kwa uwiano kwa jiji, uwiano wa umiliki ni mkubwa zaidi kati ya watoto wanaoishi katika miji mikubwa na chini kabisa kati ya wanafunzi wa vijijini.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...